Chenge ni ishara ya upumbavu wa sisi watanzania... tusisahau kwamba mzee chenge pia "anahusishwa" na kifo cha yule binti aliyekua anafanya kazi mwanza hotel, alimgonga oysterbay
Kwa maovu aliyohusishwa nayo, endapo Chenge angekua chama cha upinzani, angekua anaishi jela au hata wameshamnyonga
Lakini msisahau kuwa, alipo Chenge yupo pia Lowasa.