Chenge alijua hukumu yake kabla?

watu wanatembea na chequrbooks mifukoni mazee. pia na banks zote wanawekwa watu standby kuchota hela yoyote itakayotakwa na cour. afterall court sansana ikukandaniza ni vijisenti tu, hakuna fine ya kumletea tumbo la kuhara mtu kama chenge katika mahakama zetu.

hivi hukumu yake imesomwa ? kahukumiwa hiyo fine au hiyo fine ni ya nini?
 
hukumu imetolewa ktk mahakama ya kinondoni.fine ni jela mwaka moja au kulipa vijisenti vya tanzania laki saba.
 
kama seria imefuatwa, hakuna shida. ila sijui kama kutiwa hatiani kwa kosa la jinai kutakuwa na consequenses gani hasa kwenye ubunge wake. mtujuze jamani mnaofahamu
 
hakuna consequences zozote ndo maana baada ya kutolewa hukumu alijawa na furaha kama kawaida.he has lost nothing.ataendelea kupeta tu.
 
Sasa mlitaka faini ya laki saba Chenge asubiri mpaka baada ya wiki ndo ailipe?

Si ni kiasi cha pesa anachotembea nacho mfukoni tu hicho.
 
Hukumu ni miaka 3 au faini ya Tsh 700, 000/= Mi nataka kujua tu jamani, hivi alternative ya miaka 3 ni 700,000 tu au sheria ikoje hapo, maana duh!
 
Sasa kosa la Chenge liko wapi hapo? Kama ameambiwa nenda jela au lipa laki saba na yeye anayo laki saba mfukoni akailipa si ndo anapeta tena au! Unless afunguliwe mashitaka mengine ya kuvuliwa Ubunge kwa kuwa amekutikana na hatia kwenye mahakama (ambayo sijui kama kuna sheria inayomkataza kuwa mbunge kwa kupewa hukumu kama hiyo)

Hii faini ya Laki saba kwa roho za watu wawili ndipo nnapokwazika na hizi sheria za Tanzania.


Atapetaje wakati ametiwa hatiani (convicted)?
 
Hukumu ya kutoa laki saba pia ni kwa sababau amekuwa kigogo tu kwan mtaani kwetu mtu akigongwa na gari hata kama dereva ndio mwenye makosa utaona mwisho wa siku faini elfu ishirini au jela miezi sita wakati kakatisha maisha ya mtu.
Sometimes hata kessi haifiki polisi.
Binafsi naona mfumo wetu wa sheria sio mzuri labda wanasheria watuelimishe vizuri tuweze kujua hali halisi.
 
Back
Top Bottom