spencer JF-Expert Member Nov 25, 2010 3,599 3,220 Dec 30, 2010 #1 GrEatThinkers, Hukumu ya Chenge siitofautishi na ile ya Ditopile, Kama ni Sinema basi hii ya Chenge Ni Ditopile Part 2. Je Part 2 itaishaje?? Swali kwenu wana JF!
GrEatThinkers, Hukumu ya Chenge siitofautishi na ile ya Ditopile, Kama ni Sinema basi hii ya Chenge Ni Ditopile Part 2. Je Part 2 itaishaje?? Swali kwenu wana JF!
Lambardi JF-Expert Member Feb 7, 2008 16,513 17,386 Dec 30, 2010 #2 Ni kwelii kabisa na imeanza Episode 1......Yule bwana mdogo aliepata ajali na wangwe.....
spencer JF-Expert Member Nov 25, 2010 3,599 3,220 Dec 30, 2010 Thread starter #3 DOgo hivi bado anasota Jela Eeh? Ni kweli alikosa pesa ya kulipa alikosa au hapo sheria inasemaje wandugu?
DOgo hivi bado anasota Jela Eeh? Ni kweli alikosa pesa ya kulipa alikosa au hapo sheria inasemaje wandugu?
Gang Chomba JF-Expert Member Feb 29, 2008 20,301 4,681 Dec 30, 2010 #4 hatuwezi kuheshimiana bila Damu kumwagika...
M mageuzi1992 JF-Expert Member Apr 9, 2010 2,503 252 Dec 30, 2010 #5 Jana si sinema tu bali ilikuwa comedy! Mnadanganya watu mpaka wanastukia weee vijisenti weee hukumu ya kweli inakuja wee
Jana si sinema tu bali ilikuwa comedy! Mnadanganya watu mpaka wanastukia weee vijisenti weee hukumu ya kweli inakuja wee
N-handsome JF-Expert Member Jan 23, 2008 2,453 556 Dec 30, 2010 #6 Atafia Motel kama mwenzie ila yeye juu ya kiuno au bafuni
GEOMO Senior Member Jul 11, 2009 105 21 Dec 30, 2010 #7 Gang Chomba said: hatuwezi kuheshimiana bila Damu kumwagika... Click to expand... japokuwa halikuwa kusudio letu tunatamani sana kuendelea kuwa mfano wa nchi ya amani duniani lakini ukweli ndio huo kwamba utulivu wetu ndio unaotuponza na ikibidi tutafikia huko maana huu sasa ni uzoba.
Gang Chomba said: hatuwezi kuheshimiana bila Damu kumwagika... Click to expand... japokuwa halikuwa kusudio letu tunatamani sana kuendelea kuwa mfano wa nchi ya amani duniani lakini ukweli ndio huo kwamba utulivu wetu ndio unaotuponza na ikibidi tutafikia huko maana huu sasa ni uzoba.
L Leornado JF-Expert Member Nov 12, 2010 1,529 196 Dec 30, 2010 #8 Hivi Chenge aki...... mtalia au mtafurahi?? mtamkumbuka kwa mchango upi kwa TZ?.... Naona kawatoka watz 100%
Hivi Chenge aki...... mtalia au mtafurahi?? mtamkumbuka kwa mchango upi kwa TZ?.... Naona kawatoka watz 100%
The Dreamer JF-Expert Member Feb 2, 2009 1,282 20 Dec 30, 2010 #10 The rule of thumb is "if you cant fight them, join them"
spencer JF-Expert Member Nov 25, 2010 3,599 3,220 Dec 30, 2010 Thread starter #11 Leornado said: Hivi Chenge aki...... mtalia au mtafurahi?? mtamkumbuka kwa mchango upi kwa TZ?.... Naona kawatoka watz 100% Click to expand... Huyo Chenge kwa kiburi alicho nacho hata AKI......Siwezi hata kutoka chozi.
Leornado said: Hivi Chenge aki...... mtalia au mtafurahi?? mtamkumbuka kwa mchango upi kwa TZ?.... Naona kawatoka watz 100% Click to expand... Huyo Chenge kwa kiburi alicho nacho hata AKI......Siwezi hata kutoka chozi.
D docotera Member Dec 28, 2010 31 1 Dec 30, 2010 #12 kwani mmsesahau kuwa majina yana maana ameipiga chenga hata sheria kipa katiba kafungwa,
spencer JF-Expert Member Nov 25, 2010 3,599 3,220 Dec 30, 2010 Thread starter #13 docotera said: kwani mmsesahau kuwa majina yana maana ameipiga chenga hata sheria kipa katiba kafungwa, Click to expand... Kwa wanyantuzu: Maana yake ni Mwenge ule wa Majani uliowashwa. Unahusishwa na Imani ya kishirikina pia. Kwa hiyo usishangae kuona alinaswa na kamera akiweka unga mweupe Bungeni Dodoma ktk viti vya wengine ili wasimlipue.
docotera said: kwani mmsesahau kuwa majina yana maana ameipiga chenga hata sheria kipa katiba kafungwa, Click to expand... Kwa wanyantuzu: Maana yake ni Mwenge ule wa Majani uliowashwa. Unahusishwa na Imani ya kishirikina pia. Kwa hiyo usishangae kuona alinaswa na kamera akiweka unga mweupe Bungeni Dodoma ktk viti vya wengine ili wasimlipue.