Chemshabongo

huwezi kujumlisha hiyo mia uliyobaki nayo katika deni unalodaiwa,kwa sababu mia ipo ndani ya deni na hakuna kilichopotea.
 
huwezi kujumlisha hiyo mia uliyobaki nayo katika deni unalodaiwa,kwa sababu mia ipo ndani ya deni na hakuna kilichopotea.
Fafanua sasa kivipi???
Kwa maana nyingine mzunguko huo umepoteza 100 au??
 
Fafanua sasa kivipi???
Kwa maana nyingine mzunguko huo umepoteza 100 au??
shilingi Mia iliyobaki ipo ndani ya elfu kumi aliyokopa,hawezi tena kuijumlisha katika deni lilibaki baada ya kulipa miambili.mzunguko wa mwisho ni batili.
 
shilingi Mia iliyobaki ipo ndani ya elfu kumi aliyokopa,hawezi tena kuijumlisha katika deni lilibaki baada ya kulipa miambili.mzunguko wa mwisho ni batili.
Wacha tuugeuze huu mfano kwenye elfu kumi pesa tuweke mbuzi milioni moja
.haya tuanze upya.

Umeenda ukweni ukaambiwa zinatakiwa mbuzi 1ml.
Ukaenda kwa bro akakupa 500k mbuzi,dada 500k mbuzi.uliporudi kwa mshenga akakujuza kwamba mahari imepunguza mpaka 9700k,ukabaki na mbuzi 30k.
Ukaona hapana wacha nishushe deni kidogo,ukatoa 10000 kwa dada,10000 kwa kaka.kwako wakabaki 1000.

Kimsingi deni lililobaki kwa kila mmoja ni 490k mbuzi.haya tuchukue mbuzi 490k+490k=mbuzi 980k.kanunue mbuzi laki 980k ukalipe,mimi nitakuulizia wale mbuzi elfu moja uliobaki nao,ni faida au ni chenji!!!!

Hata tukisema alikopa 4900 muda huo huo,si 5000 bado hesabu hazikuli.
 
Hiyo 100 ni cash na 9800 ni deni so ukiiongeza hiyo mia kwenye 9800, haitaongezeka kuwa 9900 bali deni litapungua na kubaki 9700 uliyonunulia nguo.. sijui umeelewa?
 
Hakuna mbuzi wa kuuzwa milioni 1
 
Simple.. kwa dada ulikopa 4950 na kwa kaka ulikopa 4950... Jumla ulikopa 9900...

Una lingine mkuu!??
 
tunarudi kule kule,huwezi kujumlishia mbuzi uliobaki nao katika ambao unadaiwa.kwa maana itapunguza deni kama ambavyo ulirudisha hao mbuzi wengine,na hao walipaswa kurudi,ila ukaamua ubaki nao mkuu.
 
tunarudi kule kule,huwezi kujumlishia mbuzi uliobaki nao katika ambao unadaiwa.kwa maana itapunguza deni kama ambavyo ulirudisha hao mbuzi wengine,na hao walipaswa kurudi,ila ukaamua ubaki nao mkuu.
Basi turudishe nao.

Halafu utuelekeze watawekwa wapi ili watimie 1mln tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…