Chemsha Ubongo...

JIBU:
Zipo Nyuso za watu 10, ukiangalia kwa makini upande wa kushoto kwa juu kuna nyuso 5, kulia kuna uso 1 kuna huo uso wa mzee katikati...na kwenye huo uso wa mzee kuna watu 3 mwanaume 1 aliyevaa kofia ya Kivietinam na mwanamke aliyebeba mtoto...inakuwa ni Nyuso 10 pamoja na uso wa mtoto!! Asanteni kwa waliojaribu
 
sio kweli, upande wa kushoto zipo nyuso 4, thibitisha jibu la 5
 
.
Mkuu, Bushbaby siku nyingine ukileta maswali yako hapa katika kutoa majibu unatakiwa uwaelekeze watu ili wajue kufumbua hilo fumbo lako.

Naona hata baada ya kuwaelekeza maswali/ubishi umeendelea - sasa mimi nimeamua kuonyesha kabisa ili kila mtu aelewe kuwa zipo sura 10 - kama kuna mwingine ameiona nyingine aseme

ATTN: nchasi e2themiza PingPong deejay-nasmile HAKUNA Annael





​
 
Last edited by a moderator:

Heshima mbele mkuu!! asante sana, waliokuwa wanasema hakuna uso hata mmoja....sijui walikuwa wanatania au...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…