Hata nipewe milioni siwezi nikapata jibu.Mie na hesabu hapana kwakweli.......
Wewe unafaa kuolewa na mimi.A(68) =748 How?
A(12)= 22
Next digit after 1 is 2 and (1x2)=2 >>>>>22
A(34) =412
Next digit after 3 is 4 and (3x4)=12 >>>>>412
A(56)=630
Next digit after 5 is 6 and (5x6)=30 >>>>>630
A(78)=856
Next digit after 7 is 8 and (7x8)=56 >>>>>856
A(68)=748
Next digit after 6 is 7 and (6x8)=48 >>>>>748
:shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked::shocked:Wewe unafaa kuolewa na mimi.
Lete zawadi kwa mke wangu plz.:banghead::banghead::banghead:
Kuna watu hawapendi kuona namba kabisa. Wanatamani hata kwenye kalenda ionyeshwe kwa maneno sio namba
A(68) =748 How?
A(12)= 22
Next digit after 1 is 2 and (1x2)=2 >>>>>22
A(34) =412
Next digit after 3 is 4 and (3x4)=12 >>>>>412
A(56)=630
Next digit after 5 is 6 and (5x6)=30 >>>>>630
A(78)=856
Next digit after 7 is 8 and (7x8)=56 >>>>>856
A(68)=748
Next digit after 6 is 7 and (6x8)=48 >>>>>748
kumbe ilikuwa rahisi hivyo mi nilishashindwa.