Basso seleman
JF-Expert Member
- Feb 11, 2013
- 432
- 119
Baskeli
Ila msanii gani jina lake laanza na Bas
I amnaga isafir unaitwa baskeli ni baiskeli then sio jibuBaskeli
I amnaga isafir unaitwa baskeli ni baiskeli then sio jibu
Kwa mantiki hiyo, jibu unalijua! Si ndio?
Hapana ila nilkua nakukorekt tuu kuwa hicho sio kisawahili sanifu ch
a baiskeli bas
Acha kujizonga na kufanya mchezo uwe mgumu! Hah!
Bicycle = kwa kidhungu!
Baskeli = kwa kiswahili!
Na Baiskeli ni kujitia udhungu usiokua nao!