Naelewa kuwa bafu kwa wengi wetu ni chooni tunakokoga, lakini pia, bafu (bath) ni chombo cha kukogea ambacho mara nyingi kinakuwa kama mtumbwi na kinaweza kujazwa maji.Hilo bafu lina mlango wa juu kama tenki nini? Maana masalia ya maji bafuni huondolewa
kwa tambala la deki au fagio. Ha ha ha haaaaaaa! You are very clever!
Bado ipo njia rahisi zaidi ya hiyo. Tip, dont use any aparatus outside the bath itself.
X-Paster, mabafu yote yana "outlet" au kizibo. Kwa hivyo hakuna haja ya kutumia chombo chochote kuyatoa, unaondosha "kizibo" kazi kwisha.Hilo bath alina outlet?
Ahahahahah! Pasua kichwaX-Paster, mabafu yote yana "outlet" au kizibo. Kwa hivyo hakuna haja ya kutumia chombo chochote kuyatoa, unaondosha "kizibo" kazi kwisha.Nawahurumia walioumiza vichwa kutafuta njia ya kuyatoa. Washukuru hawakutoa jawabu mbele ya mkurugenzi wa kituo cha wenye upungufu wa akili.
Anyway,gud answer!:It is like,(QUESTION):How can you manage to shoot two antelopes using a gun with only one bullet?(ANSWER)I will borrow some extra bullets from my friend! .Hili swali nilishalishuhudia katika mashindano ya vyuo mbali mbali ya ZAIN AFRICA,(QUESTION):How can you drain the bathtub by using only one apparatus among these 3 apparatuses;a spoon,a cup and a bucket?.Some gave the answer similar to yours(MAMMAMIA),but it was strictly required to choose 1 among these 3 apparatuses!and the final was the SPOON because at least with it you can manage to drain till the last drop of water from the bathtub!I respect your answer anyway.X-Paster, mabafu yote yana "outlet" au kizibo. Kwa hivyo hakuna haja ya kutumia chombo chochote kuyatoa, unaondosha "kizibo" kazi kwisha.Nawahurumia walioumiza vichwa kutafuta njia ya kuyatoa. Washukuru hawakutoa jawabu mbele ya mkurugenzi wa kituo cha wenye upungufu wa akili.
That's nice Jaguar! I too respect the others' answers In my brain storming, I provided a tip which excluded that restriction.Anyway,gud answer!:It is like,(QUESTION):How can you manage to shoot two antelopes using a gun with only one bullet?(ANSWER)I will borrow some extra bullets from my friend! .Hili swali nilishalishuhudia katika mashindano ya vyuo mbali mbali ya ZAIN AFRICA,(QUESTION):How can you drain the bathtub by using only one apparatus among these 3 apparatuses;a spoon,a cup and a bucket?.Some gave the answer similar to yours(MAMMAMIA),but it was strictly required to choose 1 among these 3 apparatuses!and the final was the SPOON because at least with it you can manage to drain till the last drop of water from the bathtub!I respect your answer anyway.
Thanks,mi ndo nilitumbukia kwenye dimbwi la maji machafu,sikugundua hiyo tip yako!That's nice Jaguar! I too respect the others' answers In my brain storming, I provided a tip which excluded that restriction. "All roads lead to Rome".
Kwa hiyo nimepatia!?X-Paster, mabafu yote yana "outlet" au kizibo. Kwa hivyo hakuna haja ya kutumia chombo chochote kuyatoa, unaondosha "kizibo" kazi kwisha.
Nawahurumia walioumiza vichwa kutafuta njia ya kuyatoa. Washukuru hawakutoa jawabu mbele ya mkurugenzi wa kituo cha wenye upungufu wa akili.
Nahisi jibu lako litakuwa sahihi!Kwa hiyo nimepatia!?