1.------------Ni neno refu la kiingereza ambalo ukitype kwa kutumia keyboard ya computer utatumia mstari mmoja tu wa herufi ambao ni wa kwanza(mstari wenye herufi;
P,O,Q,W,E,R,T,U,Y,I)
2.Nilikuwa na a,e,i,o,u, nikatoa a,e,i,o,u.Je nitabakiwa na herufi gani?
3.Kitunguu swaumu kwa kiingereza ni----------------
4.----------Ni neno pekee la kiingereza linaloishia na herufi hizi "MT".
5.Binadamu ana milango mingapi ya fahamu?Itaje.
Mnakaribishwa chemsha bongo zenu na majibu pia nyote mnakaribishwa.