Andrew john Senior Member Joined Mar 10, 2009 Posts 110 Reaction score 122 Mar 25, 2011 #1 umri wa juma wa sasa ni miaka 5 zaidi ya umri wa ally.tafuta umri wa juma miaka mitano ijayo. iwapo jumla ya miaka yao kwa sasa ni 35
umri wa juma wa sasa ni miaka 5 zaidi ya umri wa ally.tafuta umri wa juma miaka mitano ijayo. iwapo jumla ya miaka yao kwa sasa ni 35
semango JF-Expert Member Joined Aug 24, 2010 Posts 532 Reaction score 45 Mar 25, 2011 #2 miaka mitano ijayo Juma atakua na miaka 25 kwa sababu kwa sasa anamiaka 20 na Ally anamiaka 15
Sita Sita JF-Expert Member Joined Aug 25, 2008 Posts 1,451 Reaction score 629 Mar 25, 2011 #3 haya mambo ya Shule ya Msingi Jaribu hii Kuna taa tatu (Three Bulbs) ndani na switch zake tatu ziko nje. How would you label the switch for each bulb kama ukiwa nje huoni taa za ndani na hakuna mtu wa kukusaidia.
haya mambo ya Shule ya Msingi Jaribu hii Kuna taa tatu (Three Bulbs) ndani na switch zake tatu ziko nje. How would you label the switch for each bulb kama ukiwa nje huoni taa za ndani na hakuna mtu wa kukusaidia.
boss80 Member Joined Mar 15, 2011 Posts 45 Reaction score 7 Mar 25, 2011 #4 Kama Umri wa Ally kwa sasa ni X Juma ni X+5 Hivyo basi X + X+5 = 35 2X + 5 = 35 2X = 35 - 5 2X = 30 X = 15 Hivyo kwa sasa Juma ana miaka 20 na Ally ana miaka 15 Miaka 5 ijayo Juma atakuwa na 20 + 5 = Miaka 25
Kama Umri wa Ally kwa sasa ni X Juma ni X+5 Hivyo basi X + X+5 = 35 2X + 5 = 35 2X = 35 - 5 2X = 30 X = 15 Hivyo kwa sasa Juma ana miaka 20 na Ally ana miaka 15 Miaka 5 ijayo Juma atakuwa na 20 + 5 = Miaka 25
KATIZAJI Member Joined Oct 11, 2007 Posts 58 Reaction score 5 Mar 25, 2011 #5 Simple! Unaweka taa (Bulb) za rangi tofauti! Taa ya kwanza nyekundu, taa ya pili njano na taa ya tatu bluu! Sita Sita said: haya mambo ya Shule ya Msingi Jaribu hii Kuna taa tatu (Three Bulbs) ndani na switch zake tatu ziko nje. How would you label the switch for each bulb kama ukiwa nje huoni taa za ndani na hakuna mtu wa kukusaidia. Click to expand...
Simple! Unaweka taa (Bulb) za rangi tofauti! Taa ya kwanza nyekundu, taa ya pili njano na taa ya tatu bluu! Sita Sita said: haya mambo ya Shule ya Msingi Jaribu hii Kuna taa tatu (Three Bulbs) ndani na switch zake tatu ziko nje. How would you label the switch for each bulb kama ukiwa nje huoni taa za ndani na hakuna mtu wa kukusaidia. Click to expand...