Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,741 May 13, 2013 #1 Hii ni kitu gani watu wa Pwani? Ngalawa, Mashuwa, Boti,jahazi, Mtumbwi?
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,741 May 13, 2013 Thread starter #2
Herbalist Dr MziziMkavu JF-Expert Member Joined Feb 3, 2009 Posts 43,037 Reaction score 34,741 May 13, 2013 Thread starter #3 Hapa ipo Dry dock kwenye matengenezo kasheshe kweli hii kitu hatari.
Globu JF-Expert Member Joined Jan 12, 2011 Posts 9,105 Reaction score 2,622 May 13, 2013 #4 Dau hilo Mkuu MziziMkavu. Linanikumbusha enzi za utoto wangu. Umri haurudi nyuma. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,584 Reaction score 553 May 13, 2013 #6 ngalawa MziziMkavu said: Hii ni kitu gani watu wa Pwani? Ngalawa, Mashuwa, Boti,jahazi, Mtumbwi? Click to expand...
ngalawa MziziMkavu said: Hii ni kitu gani watu wa Pwani? Ngalawa, Mashuwa, Boti,jahazi, Mtumbwi? Click to expand...
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,584 Reaction score 553 May 13, 2013 #7 hiyo ni mashuwa naona ndio inaaga dunia MziziMkavu said: Hapa ipo Dry dock kwenye matengenezo kasheshe kweli hii kitu hatari. Click to expand...
hiyo ni mashuwa naona ndio inaaga dunia MziziMkavu said: Hapa ipo Dry dock kwenye matengenezo kasheshe kweli hii kitu hatari. Click to expand...
W Wandugu Masanja JF-Expert Member Joined Apr 26, 2008 Posts 1,584 Reaction score 553 May 13, 2013 #8 umeiona ina kasama, mirengwe bado foromali ili iweze kutweka kwenda kwenye safari hii ndio ngalawa MziziMkavu said: Click to expand...
umeiona ina kasama, mirengwe bado foromali ili iweze kutweka kwenda kwenye safari hii ndio ngalawa MziziMkavu said: Click to expand...
C COPPER JF-Expert Member Joined Dec 28, 2012 Posts 2,697 Reaction score 1,792 May 13, 2013 #9 ngalawa
Mshirazi JF-Expert Member Joined Dec 8, 2009 Posts 444 Reaction score 180 May 13, 2013 #10 Mzizi hiyo inaitwa NGALAWA, na hizo fimbo zilizowekwa hapo juu zinaitwa pondo kazi yake ni kusukuma chombo hicho kinapokua katika kina kifupi cha maji. Pia naona katika kati kuna tundu nakumbuka linaitwa FOROMALI maalum kwa ajili ya kuwekea Tanga.
Mzizi hiyo inaitwa NGALAWA, na hizo fimbo zilizowekwa hapo juu zinaitwa pondo kazi yake ni kusukuma chombo hicho kinapokua katika kina kifupi cha maji. Pia naona katika kati kuna tundu nakumbuka linaitwa FOROMALI maalum kwa ajili ya kuwekea Tanga.
lutayega JF-Expert Member Joined Feb 29, 2012 Posts 1,298 Reaction score 569 May 13, 2013 #11 Hiyo ni meli ya titanic iliyozama kipindi hujazaliwa imeibukia pwani
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 59,111 Reaction score 69,569 May 13, 2013 #12 Ngalawa
Baba V JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 19,479 Reaction score 9,546 May 13, 2013 #14 Mi nawasoma tu, kwetu Singida hakunaga...
mwaJ JF-Expert Member Joined Sep 27, 2007 Posts 4,074 Reaction score 2,950 May 13, 2013 #15 Baba V said: Mi nawasoma tu, kwetu Singida hakunaga... Click to expand... Ha ha haaaa! Baba V mbona zipo Singidani na Kindai. BTW, nikupe habariki? au ulaileani? Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Baba V said: Mi nawasoma tu, kwetu Singida hakunaga... Click to expand... Ha ha haaaa! Baba V mbona zipo Singidani na Kindai. BTW, nikupe habariki? au ulaileani?
saudari JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 2,655 Reaction score 2,783 May 13, 2013 #16 MziziMkavu said: Click to expand... Hiyo ni Lamborghini ya majini.
life is Short JF-Expert Member Joined Apr 1, 2013 Posts 4,741 Reaction score 3,037 May 13, 2013 #17 Asubuhi njema, ivo pwani kuna bahari? Hiyo mtumbwi !!
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,506 Reaction score 18,872 May 13, 2013 #18 mtumbwi....
Totos Boss JF-Expert Member Joined Dec 30, 2012 Posts 5,456 Reaction score 1,569 May 13, 2013 #20 Nawewe kumbe unatenbelea fukwe zetu? Hongera au umechukua tu picha some ware?