Nzi sina mamlaka ya kuhoji mambo binafsi ya mtu lakini kwako naomba nifanye hivyo!!! Kwanini umejichagulia ID hiyo? Nikimfikiria huyo mdudu alivyo na Tabia zake,mazingira anayoishi, vyakula anavyokula nk nabaki na mshangao tu
Kumbuka: PERCEPTION CREATES REALITY ....!!!