Loh!!! ha hha hhaa,...e bana kukosea akosee yeye adhabu nipewe mie, yakoje mambo haya?
sie wa pwani adhabu hapa ni kumzalisha mke mtoto mwingine! MJ1 jiandae na miezi tisa ya kulalia ubavu!