Chemsha bongo katika hesabu

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
41,597
Reaction score
65,047
Kama serikali, itaamua kuwajengea nyumba wananchi wake walioko milioni 60; nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 20 kila moja. Je, serikali itatumia jumla ya kiasi gani, katika ujenzi huo?

Jibu uliandike kwa maneno.
 
Ngoja nikachuke slide rule yangu nakuja
 
Serikali itatumia trilioni miamoja na ishirini.
 
Kama serikali, itaamua kuwajengea nyumba wananchi wake walioko milioni 60; nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 20 kila moja. Je, serikali itatumia jumla ya kiasi gani, katika ujenzi huo?

Jibu uliandike kwa maneno.
Jibu Sahihi: Serikali haiwezi kuamua 'Jambo la Ajabu' kama hilo hata iweje.
 
Kama serikali, itaamua kuwajengea nyumba wananchi wake walioko milioni 60; nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 20 kila moja. Je, serikali itatumia jumla ya kiasi gani, katika ujenzi huo?

Jibu uliandike kwa maneno.
✍️
 
Itatumia milioni 20 maana itajenga nyumba moja na wananchi wote wataimiliki....Ni mawazo yangu tu lakini maana maswali ya hivi huwa hayahitaji mahesabu bali kufikiria kwako tu.
 
Kama serikali, itaamua kuwajengea nyumba wananchi wake walioko milioni 60; nyumba yenye thamani ya shilingi milioni 20 kila moja. Je, serikali itatumia jumla ya kiasi gani, katika ujenzi huo?

Jibu uliandike kwa maneno.
One quadrillion and two hundred trillion.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…