Wickama
Platinum Member
- Mar 8, 2009
- 1,577
- 1,365
Hapa mahali ni maarufu kwa vile kuna a NATURAL SWIMMING POOL. Maji yake ni masafi kama kioo. Yana tabia ya kuwa vuguvugu (joto kwa mbali) asubuhi na jioni au inaponyesha mvua huku yakibaki baridi mchana au panapokuwa na jua kali. Panavuta wenyeji hata watalii kwa wingi. Taja hii swiming pool ipo kijiji gani maarufu na inaitwaje
Msaada; Cheza na mikoa ya Manyara, Arusha na Kilimanjaro
![IMG_20150214_130843[1].jpg IMG_20150214_130843[1].jpg](https://www.jamiiforums.com/data/attachments/3260/3260068-032053acd5dcd7e14e882ae7fed79068.jpg?hash=AyBTrNXc1-)
![IMG_20150214_153735[1].jpg IMG_20150214_153735[1].jpg](https://www.jamiiforums.com/data/attachments/3260/3260069-48814e669fd97967a81791b29a977325.jpg?hash=SIFOZp_ZeW)