Abdalla Mohd Ali
Member
- Jul 8, 2022
- 21
- 7
Wakuu sehem gani Chemical Engeneer anaweza kufit peke yake yaan bila yy kuwepo kitu hicho hakifanyiki
Hakuna mtu ambaye bila yeye kazi haifanyiki!!Wakuu sehem gani Chemical Engeneer anaweza kufit peke yake yaan bila yy kuwepo kitu hicho hakifanyiki
Nadhani lengo lake ilikua kujua upekee wa Hiyo course,Hakuna mtu ambaye bila yeye kazi haifanyiki!!
Me aga naona kama hoja yako haijibu swali la Mleta mada bora ukaushe tu, Hujamsaidia umemkatsha tamaa kakimbia uziMlikuwa mnabishana facebook au?
