Kipala
JF-Expert Member
- Jan 10, 2009
- 3,763
- 699
Kuhusu chanzo cha ICC mimi nimechukua mtazamo kama mwalimu wa
Historia na arguments zangu hata nilipokua college nilikua nabisha hivyo.
Technicalities are based on the names. Zile Nuremberg trials za baada
ya WW II were a mirror image of the ICC...ICJ/ICC kwangu ni kitu kimoja.
Nakumbuka nikimwambia lecturer wangu kua League of Nations na United
Nations is just the same thing..difference ni jina na mahala headquarters
ilipo. Hata hivyo I understand where you are coming from.
Asante, nadhani kwa jumla tuko pamoja.
Ila tu kuhusu taasisi hizi kuna tofauti. Maana ina sababu ya kwamba [ame="http://sw.wikipedia.org/wiki/Shirikisho_la_Mataifa"]Shirikisho la Mataifa[/ame] lilifutwa na [ame="http://sw.wikipedia.org/wiki/Umoja_wa_Mataifa"]Umoja wa Mataifa[/ame] kuundwa upya 1945. Ni kweli ni kama ngazi za kufuatana hata hivyo ngazi mpya ni kitu kipya.
Maana wengi hatupendi kuchanganywa na babu yetu.
Tofauti kati ya ICC na ICJ ni kama vile kati ya mahakama ya jinai na mahakama ya kibiashara au kesi za kiraia.