Chelsea's latest signing

Chelsea's latest signing

Mwanamwana

Platinum Member
Joined
Aug 1, 2011
Posts
9,604
Reaction score
22,722
Huyu ndo mchezaji mpya wa Chelsea.

attachment.php
 

Attachments

  • 1533887_886893664684184_956541066_n.jpg
    1533887_886893664684184_956541066_n.jpg
    40.5 KB · Views: 475
Msitegemee penalties za kupewa nyinyi tafuten magoli ya moja kwa moja
 
Jamaa katutenga siku izi daah sikuamini macho yangu hata penati moja hatupi man u.
 
Msitegemee penalties za kupewa nyinyi tafuten magoli ya moja kwa moja

Chelsea haijazoea kubebwa na ushindi wa Chelsea hupatikana kwa jasho na damu. Timu inapambana hadi mwisho.
Timu ambayo imezoea kushinda mechi zake ikiwa na wachezaji pungufu. Mti wenye matunda hutupiwa mawe.:whip:
 
Back
Top Bottom