FULL TIME: Chelsea 0-1 Manchester City | FA Cup Final | Wembley Stadium | 16 May 2026!

FULL TIME: Chelsea 0-1 Manchester City | FA Cup Final | Wembley Stadium | 16 May 2026!

Mad Max

JF-Expert Member
Joined
Oct 21, 2010
Posts
35,418
Reaction score
103,913
Leo mida ya saa 11 jioni, viwanja vya Wembley London, manguli wawili Chelsea na Manchester City wanakutana katika fainali za FA cup.

Tukutane hapa kwa live updates!



Kocha Pep Guardiola anaelekea kuukamilisha msimu wa 2025/26 vizuri licha ya kuwa alianza kwa kusuasua awali, hiyo ni baada ya kubeba taji la pili msimu huu, timu yake ya Manchester City imeshinda goli 1-0 dhidi ya Chelsea na kubeba Kombe la FA.

Antoine Semenyo ndiye amefunga goli pekee katika dakika ya 71 na kuifanya City kubeba taji la pili baada ya Carabao Cup.

Hivyo, Man City inakuwa imebeba taji hilo kwa mara ya nane, ikiwa imeingia fainali mara nne mfululizo, ikishinda mara mbili kati ya hizo.
 
IMG_8628.jpeg
 
Back
Top Bottom