CHELSEA vs MAN U…. Nani kuibuka mbabe j’pili?

CHELSEA vs MAN U…. Nani kuibuka mbabe j’pili?

Dr. Chapa Kiuno

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2009
Posts
443
Reaction score
18

Wadau, finally wababe wanaopishana kila wakati katika kilele cha PREMIER league wanakutaka wik end hii…. Je! Nani atacheka n nani kununa unahisi?

Naomba maoni yenu…

NB
Remember, yeyote atakayeshinda hapo atarudi kileleni n kama ni draw then Chelsea wataendelea kukalia uongozi.
 
Ze blues....nawapa nafasi kubwa sana kushinda mpambano!
 
Wadau, finally wababe wanaopishana kila wakati katika kilele cha PREMIER league wanakutaka wik end hii…. Je! Nani atacheka n nani kununa unahisi?

Naomba maoni yenu…

NB
Remember, yeyote atakayeshinda hapo atarudi kileleni n kama ni draw then Chelsea wataendelea kukalia uongozi.

Utakua viwanja gani Dr.? Red devils kidedea kama kawa. any one ready for a bet. 100,000
 
Hili game kutokana na jinsi team zote mbili zilivyo, natabiri kuishia kwa sare
 
hakuna sare pale, tena kwa kuwa tumeanzisha utaratibu wa kufunga bao nne had tano bas Manu wajinadae kupokea kichapo.sisi ndo the bluessssssss bana,

na msimu huu mtatukoma tu!!
 
haiwezekani mje mushushe sufuria y ugali na sisi wenye nyumba tupo.
man jiandae kulia tu, mwaka wetu the blues!
 
man U ni wa kupigwa kama mbwa mwizi ....
 
Mi hata siongea nijuacho ni kwamba mashetani wekundu hawataweza kuvuka daraja...

Itakuwa mechi nzuri, Drog is on top form...Vidic na Rio sijui kama watamumudu! 2-1 for Chelsea
 
hii game nataka hiwe draw lakini kama swala la kuweka dau basi dau langu ni kwamba chelsea anashinda.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom