Chelsea na safari ya kuelekea ubingwa

Chelsea na safari ya kuelekea ubingwa

Danpol

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2013
Posts
5,747
Reaction score
9,036
Ni ukweli usiopingikia Chelsea football club ndio club bora kwa sasa katika ligi kuu ya uingereza na kati ya club bora tatu dunian, hawajapoteza mchezo wowote tokea ligi ianze , they are playing beautiful gemu, mpira wa pasi fupi fupi na ndefu ambao umekua ni mtihan mkubwa sana kwa timu pinzani wanazokutana nazo , uwepo wa Fabrigas na Diego umekua chachu ya ushindi pamoja na uwezo binafsi wa Eden Hazard, ubora wa William na Oscar, uwepo wa Matic umewaweka Chelsea katika nafas nzuri ya kuendelea kukaa kilelen kwa tofaut ya point kadhaa.

Mtihani mkubwa walionaio sasa hivi Chelsea FC is TO KEEP THEIR FORM, historia inaniambia Chelsea mara nyingi wanakua na msimu mzuri sana mwanzoni lakini muda unavyozidi kwenda mambo yanabadilika and the last two premier league games can prove this (man utd na Jana )

Chini ya Scolari (2008/09) walishinda michezo yao 10 ya mwanzo kati ya 13, baada ya hapo walijikuta wakishinda michezo 4 Tu katika ya 12 iliyofuata na hii iliwavunja kabisa moyo wa kupigania ubingwa , historia inaendelea kuniambia chini ya Carlo Ancelotti Chelsea ilishinda michezo nane kati ya kumi ya mwanzo baada ya hapo ilijikuta tena katika anguko lingine, ikifanikiwa kushinda mchezo mmoja tu kati ya nane iliyofuata , na la mwisho ni chini ya Di Mateo , Walishinda michezo saba ya mwanzo , baada ya hapo walijikuta wakiokota point 4 tu kati ya 21 zilizofuata .

Safari hii tayari wameshinda michezo nane katika ya kumi , Swali je, hili litajirudia tena? mimi na wewe hatujui, kilichokua kikiwa cost miaka ya nyuma ni uchovu na ufinyu wa kikos , wanatumia nguvu nyingi sana kupata matokeo game after gemu inafikia mahali wanachoka na mambo yanawabadilikia, hii energy wanayoitumia mwanzo ningependa kuiona hivi hivi mpaka mwisho , akili ya Mourinho inawaza ubingwa wa ligi kuliko kombe lingine lolote lile.

mwishon niwatakie safari njema huko muendako
by Dan Pol
 
Chamalamwana, chamalamwanaaaaaaa! piga keleleeeeeeeeee, waooooooooo! lazma mwaka huu ndoo itue stamford bg
 
hahahahahaha rais rais hvyo?
 
Nikwel ulichokisema ila mou is geneus najua hata yy anafaham ilo na ameshasema hajaridhika na perfomance ila dis time chelsea is unstoppable
 
Mou alipokuwa Real Msimu wake wa pili alianza hivyo hivyo na kuchukua ubingwa kwa point 100
 
Mourinho alishasema kitambo kwamba timu zake huwa zinakuwa bora zaidi katika msimu wake wa pili. Chelsea wapo vizuri msimu huu, of-course it is still early days na lolote laweza kutokea. Kadri siku zinavyosonga na timu pinzani zitajaribu kusoma udhaifu wao na kujaribu kuexploit.

Beki ya Chelsea sio imara saaana. Terry kaanza kuchoka kiaina na Azp nae 50% 50%. Wanasaidiwa sana na midfield ya Matic & Fabregas. Timu yoyote itakayoweza kuwadhibiti hao madogo wawili, itaweza kupenya ngome ya Chelsea na kuleta madhara. Nadhani ndo maana Mourinho analazimisha akina Oscar na Hazard nao waje kukaba wakati timu inashambuliwa
 
I like it :thumbup:
 
Beki siku zote hua imara km viungo wote wa pembeni na Kati wanasaidia ktk Jukumu la ukabaji... Kwa maana hiyo basi kupenya ktk beki ya Chelsea kunahitaji makosa tu ya uwanjani ya wachezaji lkn sio uwezo wa Timu pinzani kuweza kupenya na kupita...!

Mbinu kubwa ya kwanza ya Mourinho ni ulinzi kwanza hii ikiwa inamuhakikiahia draw kwanza then Kinafata Ushindi...! Bado sioni km kuna Timu yoyote itaweza kutusumbua ktk huu msimu..!

Cc: Viol kalou Grand PA Mentor kunguru mjanja agosti 8 charminglady Na Chelsea fans wote...!
 
Last edited by a moderator:

yangu macho
 
Last edited by a moderator:
yangu macho

Tatizo lililopo tunacheza mashindano mengi au kila Baada ya siku tatu lazima tuwe na game... Hii inawachosha sn wachezaji na pia inabidi kua makini sn ktk Uchezaji ndio maana wakati mwingine unaona km kuna makosa yanajitokeza...kwasababu wakipata goli tu basi wanatulia kujilinda....!
 
SAF enz zake alikua akipata goli tu anarud kulinda, wakichomoa anaenda kusaka tena, ilikua inasaidia sana wasichoke, Mourinho yeye full mbio dakika zote , kidogo ni tatizo hili
 
Kwa sasa chelsea ndiyo timu bora kabisa

Nadhani sio bora kabisa..maana ukisema kabisa unamaana kuna zingine ambazo nazo ni bora.

Kwa Uingereza kwa sasa Chelsea NDIO TIMU BORA PEKEE...hakuna nyingine
 
sio uingereza tu bali ni ulaya kwa ujumla
 
Ndoto ya mwendawazimu .. .. .. . khe khe khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

article-2817107-22C38E9400000578-191_636x382.jpg

Chelsea manager Morinyo slams Stamford Bridge ooops Cowshed atmosphere: 'It's like playing in an empty stadium'
Chacha msingebebwa si mngechezea suluhu shenzi type
yeye anafikiri raha ya mpira ni kubebwa pambaf kabisa.

​
 
sio uingereza tu bali ni ulaya kwa ujumla
Kwa Ulaya kuna Real Madrid...wapo kwenye kiwango cha juu sana kwa sasa, na pia kuna Barcelona na Bayern Munich ambao wapo kwenye level nzuri tu kama Chelsea.

Najua watu wataidharau Barca kwa vipigo viwili mfululizo, lakini haya ni mambo ya kawaida kwenye soka, kabla ya jmosi iliyopita, Barca ilikuwa haijafungwa goli ata moja katika mechi 8 za ligi ya Hispania. Hii sio record ya kubezwa na haiwezi kufutwa kwa sababu hawajafanya vizuri katika siku saba zilizopita.
 
hao uliowataja kwa msimu huu wote wamefungwa isipokuwa chelsea…ndo ujue kuwa chelsea kuwa ni baba lao
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom