hz itakuwa imetolewa kwenye picha za wakubwa, msilete humu kuna watoto wako likizo, msije kuchafua hali ya hewa nyumbani, maana tunaweza kuanza kuulizwa maswali tutakayoshindwa kujibu wanetu. enyi mliochafuta msituchafue wala kuchafua watoto wenu/wetu