Sanoyet
JF-Expert Member
- Apr 3, 2013
- 1,323
- 295
Hakuna nani wala nani,wote chooni! uwe maskini au tajiri,wote chooni! hakuna umashuhuri wala nini,wote chooni! uwe rais au mbunge,wote chooni! uwe sharo au mrembo,wote chooni! uwe maarufu km wewe au si maarufu km mimi,wote chooni! Asante Mungu kwa kuonesha maajabu yako ya usawa! hakuna mimi wala wewe unayesoma post hii,wote chooni! kama hujaenda chooni leo niPM,kama umeenda kausha!!!!!