Adi kufikia march 2016 ubao wa matokeo ulikuwa unasomeka :CCM 85 % : Upinzani 15%. Ahsante baba JPM kuongeza idadi ya wapiga kura kwa CCM ,Mara baada ya uchaguzi mkuu. Kwa sasa ni masikitiko ubao wa matokeo umebadilika sana na mechi ndio kwanza nianza kwani adi 2020 sijui itakuwaje kwa makosa yakizembe tunayofanya adi kupoteza wapiga kura wengi hivi.
Huwezi amini,ukweli unauma ubao adi Leo hii 1/6/2916,, ni CCM 55%: UPINZANi 45%. yaani kutoka 85% adi 55% ndani ya miezi 3 na safari 2020 ndio inaanza,,dah inaumaa. Na kinachohuma zaidi na zaidi tunapoteza kwa kufanya mambo ya kizembe tena uzembe wa kitoto. Tuache ubishi inshu ya sukari na bunge live imetutupotezea kwa sana. Kabla hata hatujasahau makosa ya sukari na bunge live, tunafanya kosa lingine kubwa LA karne kwa kuwapa Massa 24 wanafunzi wa UDOM utazani in wahalifu.
Upinzani wametumia uzaifu huu wa serikali kushindwa kutumia busara na kujipatia uungwaji mkubwa mkono toka kwa wananchi. Kwa wale wanafunzi takribani 7000 , kila mwanafunzi ameungwa mkono na watu 10 toka CCM kupinga na kukasilishwa na jinsi serikali ilivyotatua jambo hili. 7000*10=70,000.,usishangae CCM tukawa tumepoteza wanachama elfu sabini kwa inshu ya UDOM pekee. Lazima tuwe wakweli naibu spika alichemka sana kuzuia jambo hili kujadiliwa bungeni,kwa jambo ambalo ata kama lingejadiliwa lisingeleta hatari mbaya kwa serikali/CCM.
Naibu spika soma alama za nyakati wewe ni msomi level ya PhD utaongozaje bunge kwa kupokea maelekezo toka nje?tena maelekezo mabovumabovu. Ebu tendea haki elimu yako basi, tofauti na apo anguko kubwa LA kisiasa linakuja kwako kwa kasi kubwa.