CHUAKACHARA
JF-Expert Member
- Jun 3, 2011
- 12,361
- 6,441
nilimaanisha namuita mpuuzi sio wewe
CHUAKACHARA
Najua sio mimi maana post sikuiweka mimi. Usijali ni kubadilishana mawazo wala hakuna shida yoyote. Ndio uzuri wa JF unabadilishana mawazo na mtu humfahamu. Karibu kwetu.
Masai dada! utaedit uzi usio wako kweli! Nadhani huweziumecoment kabla sija edit hahaha
muombe ruhusa mod
unaishi nchi gani
Masai dada! utaedit uzi usio wako kweli! Nadhani huwezi
Naona watu wengi wanatukana. Kakosea nini?
ku edit reply na sio uzi
Usitukane basi elimishaWewe unaona ni sawa kwa mtoto wa umri ule kupelekwa baa na kunyweshwa bia? Huo kwa udhahiri ni udhalilishaji wa watoto.
Na 'ladypepeta' ameweka like kwenye ile picha, shame on you!
Usitukane basi elimisha
Naona Chuakachara leo umevaa miwani ya mbao.
Nimetukana tusi gani? au udhalilishaji limekuwa tusi leo>
lDYPEPETE SIJAJUA NI WA WAPI BUT FURSA IPO KUWEKA UNLIKEWewe unaona ni sawa kwa mtoto wa umri ule kupelekwa baa na kunyweshwa bia? Huo kwa udhahiri ni udhalilishaji wa watoto.
Na 'ladypepeta' ameweka like kwenye ile picha, shame on you!
Najua sio mimi maana post sikuiweka mimi. Usijali ni kubadilishana mawazo wala hakuna shida yoyote. Ndio uzuri wa JF unabadilishana mawazo na mtu humfahamu. Karibu kwetu.[/QUOTE]
nakuja kwa niaba yake
Amavubi karibu na wewe kwetu. Hakuna shida hata kidogo.
Shame up on you is not a polite word anyway! Nisamehe bure kama nimekosea uandishi
Shame on you siyo tusi hata kidogo. Ni kwa kumuhadharisha mtu kuwa alichokifanya siyo kizuri.
Umewahi kusikia msemo wa naming and shaming? Yaani anayefanya kitu ambacho si kizuri kwenye jamii huwa anatajwa hadharani ili ahisi vibaya na kuacha kile kitendo.
mtoto wa kambo nini?