Mhhh!!!! Kwetu kuna hadithi huwa inasimuliwa hivi: Kuna kijana aliambiwa na wazee wa kijiji chake katika mkutano wa kijiji "acha kuwatukana watu wazima". Akawajibu akasema "Ni mbwa gani huyu ananifundisha hivyo" Ndiyo ya leo! Nitapenda kukuona siku moja!