Cheki hapa Solo Thang anavyokimbizwa na Jay Moe kwenye 'We Are Family'

central midfielder

Senior Member
Apr 14, 2023
132
187
JUMA MCHOPANGA,JAY MOE Habari nyingine, Cheki hapa SOLO THANG Anvyokimbizwa kwenye WERE ARE FAMILY.

Tatoo sio Nyingi kama P FUNK ila mi mpenzi wa MAJANI/
JAY ndio mimi MASTER si Produce ila Naghani/
Sounds zangu kiufundi nazicraft kama ENRICO/
Kwa mapuch nawaangusha, nawaacha CHALI kama MARCO/
Haya Matonge, nayatwanga kwenye Ulingo wa J - RYDER/
Ndani ya TONGWE, sio Tanga Ila ni kwa kina JAY MURDER/
Swagga zina ladha mfano wa Vinanda vya BIZZMANA/
Dar es Salaama hadi mwanza kama Q Im the Don DADA/
Mi na ULAMAA mandugu mithili ya SHAKII na DUNGA/
LAMAR na Fish CRAB, jirani na klabu ya YANGA/
Mi ni SIMBA, Mpatani niite MIKA aliyo MWAMBA/
Muulize GURU au BAUCHA, mi sina sifa ya kuringa/
Jina sio ALA, ila anakoma na haya MAPIGO/
Vina vya maana na Ego sina kama LUDIGO/
Kifo cha ROY sio ENIKA tu, kwetu sote ni PIGO/
Muulize NOORAH au Mr BLUE kama unadhani uongo/
Haikua ndogo simanzi ilitu-TACH kama DUKE/
Bado machizi ingawa sina track na MANEKE/
Maknowledge kama DAZ, wapi OMEGA nipe tano/
BIG kama LINDU, Big up HERMY na PANCHO LATINO/
Japokua Siitwi DAMIAN, Mi ni mtoto wa DOWN TOWN/
Sio DENIS ila ni GRAND MASTER wa hii Fani/
Bora TC, na TUDI, Vx na WALTER hatujuani/
Samahani NAHREAL na YUDDI kwa kuwaweka mwishoni/
 
Kwangu mimi hii ni moja ya verse bora sana kutoka kwa Jay moe

Nashangaa kwanini sijawahu kuskia wasanii wenzake wakimpa credit kwa hiu verse


Kiukweli kwenye We are family Solothang alifunikwa mbaya japo yeye alipiga verse mbili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom