Eversmilin Gal
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 778
- 270
Duh!! Kimoja tu!!?? Subiri na mimi nitakupa viwili vya kuamkia!!Hahahahahaha! Sante kwa kunipa cha kulalia.
Siamini kama hujaelewa!Sijacheka, kwani sijailewa kabisa.
Aaaaah taratibu kamanda wangu!! Itakuwa kwa step asiogope duh!!!hahahahaa.., mkuu viwili utamu-overdoze asee:lol: