cheka unenepe

Loooh SaaLaalee " watatu wanapasuka kwa kucheka " na umma mzima unaduwaa!! (wanalia kimoyomoyo)....
 
Haya ndiyo maisha bora kwa wote.na wanahuhakika wa kula mkuu.
 
mbona ni wao watatu tu ndio wanacheka...........

Kikwete kacheka kwa ustaha kidogo
 
hii inaitwa furahisha mtemi style!yaani hata kama jambo halichekeshi unapanua domo kwa style ya"chapati hukunji" ili mkulu akuone mko pamoja!
 
hii inaitwa furahisha mtemi style!yaani hata kama jambo halichekeshi unapanua domo kwa style ya"chapati hukunji" ili mkulu akuone mko pamoja![/QUOTE

hahahahahhahahaha
 
Hahahahaaaaaa,nikama wanasema,''Unajua NAPOO wakati mwingine namuona kama mwendawazimu''Hahahaaaahaaaa
 
Kikwetee kiatu kichaaafuuuuuuuu ka alikua anaswaga g'ombe hvi...
 
Kwa nyuma Mlinzi wa Mh anakubali kunong'onezwa. Hii ni hatari..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…