Kiraka Kikuu
JF-Expert Member
- Oct 3, 2011
- 5,903
- 2,001
I smell odorless, sijaona jokes hapa.
I smell odorless, sijaona jokes hapa.
We wakusoma vp habari za id mpya!
uwezi ona labda mpaka uvue miwani yako ya mbao. LOLI smell odorless, sijaona jokes hapa.
uwezi ona labda mpaka uvue miwani yako ya mbao. LOL
Loading...50%
Tatizo la kudekeza ovyo mitoto !
mtoto mmoja alirudi kwao akiwa amenuna balaa!
Mama:kulikoni?
Mtoto:leo mwalim wa hesabu hakuja!
Kuskia hivo,mama akafurahi akijua mwanae anapenda shule!
Mama:nitakutafutia mwalim wa hesabu akufundishe hapa nyumbani.
Mtoto:hapana mama! Mwalim ambaye hajaja ndio huwa anauza ubuyu,leo tumeukosa...{akaanza kulia!}
Masaburi at work, mwehu wewe Wa kusoma yuko wapi hapa?
I smell odorless, sijaona jokes hapa.