Kumcheka mgonjwa wa akili sio sahihi
ila kuna kitu wagonjwa wengi wa akili wanakiweza kuliko watu timamu
kuwapata wanawake...
amezaa na wanawake sita?
Vipi rambirambi mmekula st.vicenty mmekula mkaimaliza??....yaani hua nikisikia jina la Deogratius Kisandu lazima nicheke....huyu jamaa dishi limeanguka kabisa bora la Lissu limeyumba kidogo.
Kisandu ni nani?
Kapigwa ban moja takatifuHuyu jamaa kapotelea wapi
Ndio maana aseehKapigwa ban moja takatifu
Vipi rambirambi mmekula st.vicenty mmekula mkaimaliza??
[emoji23][emoji23][emoji23] umepanicNdio mke wangu.....rambirambi imeliwa zilichangwa milioni 400 tumekula 200....so what are u going to do about it miss chadema??...are u going to cry??
[emoji23][emoji23][emoji23] umepanic