Cheka na mwenzio

Cheka na mwenzio

Equation x

JF-Expert Member
Joined
Sep 3, 2017
Posts
40,127
Reaction score
62,140
Cheka na mwenzio uongeze siku za kuishi...
  • Uko kazini umekasirika/kununa
  • uko nyumbani umekasirika/kununa
  • Uko kwenye mambo ya biashara umekasirika/umenuna
  • Unasalimiwa uitikii unajifanya umekasirika/kununa
  • Unajifanya uko bize huku umekasirika/kununa
  • Mdomo unachongoka kama penseli kwa sababu ya kununa tu
Cheka basi uongeze siku za kuishi
 
Back
Top Bottom