Cheka kidogooo..........

Mapigo1

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2013
Posts
256
Reaction score
90
Cheka kidogo bac wa ukweli; Waumini waliambiwa watoe michango ili wazungushie ukuta eneo la makaburi ya kanisa lao, Mchungaji akauliza kuna mtu ana swali?
Muumini mmoja ambaye huwa ni Mlevi akauliza 'Je Kuna Marehemu yeyote aliyewahi kutoroka'?
Kama hakuna, ukuta wa nini sasa?'...
Au ndo ufisadi hadi kwenye makaburi?Mchungaj kimyaaaaaa! Chezea mlevi weyeee
 
Hiyo ni hoja bila kujali aliyeitoa ni mlevi au la.
 
Kwani ukuta kazi yake ni kuzuia tu vilivyo ndani visitoke nje au hata vilivyo nje visiingie ndani..?? Makaburini kuna vitimbi, siku hizi, si machangu wala wazee wa digital..
 
Michango nayo imezidi! Ajabu zaidi haifanyi kazi ya Mungu kama ipasavyo badala yake imekuwa source ya viongozi wetu wa dini kutanua kuwazidi wafanya biashara!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…