MCHUNGAJI: Mgeukie jirani yako na umwambie Mungu yumwema, WAUMINI wote wakageukiana na kusema Mungu yu mwema,
MCHUNGAJI: Leo nitawaombea wale wote
wasio zaa,mgeukie mwenzio na umwambie leo utapata mimba, mara likasikika bonge la kofi siti za nyuma! Kumbe mtoto 1 alimgeuki baba yake na kumwambia leo utapata mimba.