Walikutana madoctor wa China,Ujerumani,Tz,. kuelezea mafanikio walioyafikia ktk nchi Zao. Dr wa Ujerumani akasema "kwetu alizaliwa mtoto hana miguu tukamwekea ya bandia sasa ni mwanariadha na ana medali 3 za dhahabu". Dr wa China akasema sisi kwetu alizaliwa mtoto hana mikono tukamwekea ya bandia sasa ni BONDIA maarufu sana dunian". Dr wa Tz akacheka kwa dharau akasema "hamjatufikia cc, kwetu alizaliwa mtoto hana kichwa tukamwekea boga sasahv ndo huyo anasoma ujumbe huu