Cheka kidogo...fikiria kidogo!

Jaguar

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2011
Posts
3,440
Reaction score
1,029
Tumia hizi namba(1,2,3,4,5,6,7,8,9) bila kuzirudia rudia mwisho jibu liwe=100.
 
Tumia hizi namba(1,2,3,4,5,6,7,8,9) bila kuzirudia rudia mwisho jibu liwe=100.

Zinatakiwa zitumike kivipi?

Chukua hii hapa: =9*8+7+6+5+4+3+2+1
Zingatia magazijuto.
 
hivi hisabati ndio uchawi unaoongoza dunia? Mi mlokole sipendi hasabu hata chembe
 
Wengine wanapata aleji bana yanapokuja mambo ya hisabati...! Ah!
 
mwanaone hataki shida,ametumia digit 4 tu kati ya zile tisa!

mkuu mi naona yupo sawa, kwani swali halikusema atumie namba hizo zote, bali
tumia namba hizi,1,2,3,4,5,6,7,8,9 bila kujirudia halafu jibu liwe 100.
hivyo 24 + 76=100, ni xllent!, kwani number alizotumia zi ndani ya boundaries. tehe tehe. nway thanx kwa pulse bomba
 
anyway swali halikuwa clarified vizuri ila nilikuwa namaanisha zitumike namba zote zilizoorodheshwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…