(cheka)just for fun(chekeshwa)

ABiClever Junior

JF-Expert Member
Dec 14, 2016
948
547
Leo Bana niliingia duka la simu kwa lengo la kununua vile vitekno vya shilingi 20,000 ila nikamuona bint mmoja mzuri alafu wa matawi ya juu.
mwenzenu nikataka yule demu anione na mimi wa matawi. nikaona iphone nikamuuliza muuzaji hii inauzwa bei gani?
muuzaji akanijibu inauzwa laki sita.
nikamuambia aitoe ili niitazame vizur, muuzaji akaitoa akanipa, mimi nikaitazamaaaaaa kisha nikamuambia mimi nina million moja ila anitafutie iphone yoyote yenye apple zima sio lililo ng'atwa kama ile aliyo nipa.
#Abi_sio_mtu_wa_mchezo_mchezo

[HASHTAG]#C2017Just4Fun[/HASHTAG]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom