Hello marafiki,nauza simu hizi kwa bei nafuu sana na ni original kabisa, iPhone 6 s plus GB 64 700000 tu hakuna punguzo, blackberry passport 32 GB internal 200000 tu,nipo bukoba lkn tukielewana popote natuma kwa uwaminifu mkubwa,dar nishauza simu kama 7 hivi,ukitaka ushaid ntakuonesha na nilituma kwa EMS tu,lkn kama kuna mtu yupo bukoba na wewe upo mbali mtume aje kukagua akutumie,kama upo bukoba na umependa simu call me hiyo juu ni glass protector simu bado mpya0657726888
8