asakuta same
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 14,829
- 5,041
na mwamo pia mkuu...japo mwak nimeuanza na madeni yaani mpaka najionea huruma........
Tufanye kwa kutamka kwako hayo umetubu. Sasa usidokoe tena na utaona Mungu atakavyokujazia!
ngoja nijaribu mwaka huu kutoa nione kama zitaongezeka ...zisipoongezeka narudia udokozi.........
heri ya mwaka mpya wanajf wote