fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 5,733
- 7,434
Nimemkumbuka mtu huyu ambae aliwahi kushika nyadhifa kadhaa,ikiwemo waziri wa elimu,enzi ya mwalimu Nyerere
Umemkumbuka wewe, sisi anatusaidia nini? Ebu mtoe hapa, tuongelee vitu vya maana. Mods mkamateni huyu jamaa, anaharibu uzi bure.Nimemkumbuka mtu huyu ambae aliwahi kushika nyadhifa kadhaa,ikiwemo waziri wa elimu,enzi ya mwalimu Nyerere
Ana haribu vp Uzi wakati yeye ndo ameanzisha uzi?Umemkumbuka wewe, sisi anatusaidia nini? Ebu mtoe hapa, tuongelee vitu vya maana. Mods mkamateni huyu jamaa, anaharibu uzi bure.
Ni jambo la kumshukuru mheshimwa rais daktari profesa SSH kwa kukuwezesha kulikumbuka hili kkkk.Nimemkumbuka mtu huyu ambae aliwahi kushika nyadhifa kadhaa,ikiwemo waziri wa elimu,enzi ya mwalimu Nyerere
Sio kosa lako ni njaa ndio inakusumbuaUmemkumbuka wewe, sisi anatusaidia nini? Ebu mtoe hapa, tuongelee vitu vya maana. Mods mkamateni huyu jamaa, anaharibu uzi bure.
Huyo SSH profesa hanihusu mimi na wala hana mamlaka ya kuratibu ubongo wangu,huyo mgonja niliyemtaja najua wakongwe kama mimi waliomwona akitumika watashuka na nyuziNi jambo la kumshukuru mheshimwa rais daktari profesa SSH kwa kukuwezesha kulikumbuka hili kkkk.
Namjua. Nilikuwa shule by then. Mheshimiwa lazima tumshukuru kwa kila jambo linalotokea nchini.Huyo SSH profesa hanihusu mimi na wala hana mamlaka ya kuratibu ubongo wangu,huyo mgonja niliyemtaja najua wakongwe kama mimi waliomwona akitumika watashuka na nyuzi
ShukraniNamjua. Nilikuwa shule by then. Mheshimiwa lazima tumshukuru kwa kila jambo linalotokea nchini.
Karibu. Namshukuru mheshimiwa rais daktari profesa SSH kabla ya kukushukuru wewe.Shukrani
Uzi tayariNimemkumbuka mtu huyu ambae aliwahi kushika nyadhifa kadhaa,ikiwemo waziri wa elimu,enzi ya mwalimu Nyerere
Usinibishie, nishasema anaharibu uzi na ninataka akamatwe.Ana haribu vp Uzi wakati yeye ndo ameanzisha uzi?
Tuma jeshi limkamateUsinibishie, nishasema anaharibu uzi na ninataka akamatwe.