Chedema bado imara msibabaishwe na akina hamahama

Ccm bila kubebwa Na tume hali ingekuwa mbaya sana Mwaka huu.
 
CDM NI CHAMA PENDWA,KAMA NI MSALITI HAMA KABLA HUJAFUKUZWA
 
na hii yote imesababishwa na ushamba wa viongozi wa ccm wa awamu ya 5
 
Achaeni kudanganya watu. Kila mtu anajua kuwa chadema sasa hivi imebaki vipande vipande. Imesambaratika. Sasa itakuwaje ibaki imara ili hali imebakk vipande vipande tu?
 
Sina shaka na uimara wa cdm, uzuri uimara wa cdm upo katika mioyo yetu sisi washabiki na wanachama wake, na uzuri tunajua fika kuwa kinachoendelea hivi sasa ni siasa chafu na matumizi mabaya ya madaraka ya urais, kupitia mwenyekiti wa ccm. Tuna uwezo mkubwa wa kujua hali iliyopo na tunajua tu ni suala la muda. Uzuri ni kuwa siasa chafu huwa hazidumu, na huwa zina mwisho mbaya, kwa cdm hiki ni kipindi sahihi cha kupanga safu yake vizuri.
 
Chadema ni kama mbwakoko kila anapoenda watu hawamtaki"iloooo,,,iloooo jibwa koko iloooo"
 
Achaeni kudanganya watu. Kila mtu anajua kuwa chadema sasa hivi imebaki vipande vipande. Imesambaratika. Sasa itakuwaje ibaki imara ili hali imebakk vipande vipande tu?
Upinzani upo ndugu kwa watu.ilivyoaribiwa Nccr ya Mrema. Vipande vipande hivyo ndo vikaizaa CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…