...Low self-esteem!
...Katika maisha ya mapenzi na ndoa mjihadhari sana na masimango ambayo yatampelekea mtu ajione kumbe yeye si lolote si chochote kwako.
...mtu aliye suffer low-self esteem kwa muda mrefu, 'akibahatika' kupata mtu atayemwambia ujumbe 'otherwise,' ndio mwanzo wa kuanza mahusiano ya kuibia ili naye ajiskie mtu!
Jadili.