Unamfumania, ndoa inavunjika, then what??????
Wote bado vijana (30+), mnahitaji mahusiano!
Mnahalalisha uasherati kwa sababu kila mmoja wenu atatafuta rafiki (mwingine??, wengine??).
Hiyo permutation (combination??) itakuwa balaa.
Result: Promiscuity itaongezeka kwa kuvunjika ndoa. WATCH OUT.