Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Cheaters sasa mkome, vinginevyo .....!

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by mito, May 17, 2012.

 1. mito

  mito JF-Expert Member

  #1
  May 17, 2012
  Joined: Jun 20, 2011
  Messages: 6,958
  Likes Received: 999
  Trophy Points: 280
  Kuna habari kwamba ile dawa ya kufanya wazinzi au cheaters wagandane sasa imeingia bongo, na tayari watu wameanza kuichangamkia kwa kasi ya ajabu. Lengo ni kumkomesha mwenzi asiyemwaminifu ktka relationship. Nionavyo mimi:
  1) wengi tutaumbuliwa na hii dawa
  2) mwisho wa cheating umefika
  3) relationships nyingi sasa zitakuwa imara kwani cheating ndo inaongoza ktk kuvunja relationships
  4) njia ya mwenda mbinguni sasa ni nyeupe maana uzinzi ndo unaongoza kuangusha watu dhambini
  5) siyo fair kwa fb na gb kuumbuana kwa kutumia hii dawa maana wote mnazini tu, hamjahalalishwa
  6) wauzaji wa hii dawa watakula hela mpaka basi

  wewe unaonaje?
   
 2. kookolikoo

  kookolikoo JF-Expert Member

  #2
  May 17, 2012
  Joined: Mar 9, 2012
  Messages: 2,510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  hii dawa mbona ipo siku nyingi tu?

   
 3. Eversmilin Gal

  Eversmilin Gal JF-Expert Member

  #3
  May 17, 2012
  Joined: Feb 5, 2012
  Messages: 783
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kiukweli ni nzuri hata mimi natamani ningeipata lakini mwisho wa siku ni kudhalilishana na umpendae bora tu wazingatie ukimwi bado upo
   
 4. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #4
  May 17, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 133
  Inatakiwa ipigwe marufuku kwani haijathibishwa madhara yake kiafya.TBS na wale watu wa madawa mkowapi muondoe hili janga la kitaifa.Manake hata viongozi itakula kwenu angalieni mara mbili mbili jamani
   
 5. kisukari

  kisukari JF-Expert Member

  #5
  May 18, 2012
  Joined: Jul 16, 2010
  Messages: 3,344
  Likes Received: 553
  Trophy Points: 280
  huko ni kudhalilishana tu.kama mapenzi hakuna tena,haina haja ya kugandana,kila mtu aanze maisha yake.unahisi unamkomoa mwenzako,kumbe na wewe unajikomoa vile vile.imagine habari zienee,nina amini na wewe muweka tego,utajisikia vibaya
   
 6. Jestina

  Jestina JF-Expert Member

  #6
  May 18, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,769
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 145
  nimependa signecha yako mto mada,:madgrin::madgrin:
   
 7. S

  SURUMA JF-Expert Member

  #7
  May 18, 2012
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 2,899
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hiyo dawa (waswahili tunaiita TEGO) haifanyi kazi kam mnatumia c*ndom!!!!!
   
 8. cartura

  cartura JF-Expert Member

  #8
  May 18, 2012
  Joined: Aug 13, 2009
  Messages: 3,053
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  haisaidii kitu... unamkamata mtu wakati kishagonga mzigo! ukigandishwa unaunganisha humo humo
   
 9. BIG Banned

  BIG Banned JF-Expert Member

  #9
  May 18, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 263
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nina wasiwasi na wewe!!
   
 10. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #10
  May 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,538
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Watz bana! 92% ya mawazo yao yoooote ni ngono!
   
 11. Nzowa Godat

  Nzowa Godat JF-Expert Member

  #11
  May 18, 2012
  Joined: Jun 15, 2011
  Messages: 2,538
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Watz bana! 92% ya mawazo yao yoooote ni ngono! Alas! sodom 'n gomorrah, alas the contemporary tz!
   
 12. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #12
  May 18, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 160
  Hiyo dawa mamangu kaniambia ipo toka enzi na enzi,sio kitu kigeni hiyo issue ya wakenya imekua popular kwa sababu ya kukua kwa teknolojia ya mawasiliano..
   
 13. fazaa

  fazaa JF-Expert Member

  #13
  May 18, 2012
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 2,986
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  +1 :madgrin:
   
 14. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #14
  May 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,361
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  We ni noma mkuu kwahiyo condon inategua?wabongo kwa kuchakachua bhaas
   
 15. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #15
  May 18, 2012
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 11,676
  Likes Received: 206
  Trophy Points: 160
  Kweli wajinga ndio waliwao....kuna watu kucha kuchwa wanawaza kuroga na kurogona tu. Uchawi haufanyi kazi
   
 16. Jungumawe

  Jungumawe JF-Expert Member

  #16
  May 18, 2012
  Joined: May 2, 2009
  Messages: 246
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  ni uongo mtupu
   
 17. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #17
  May 18, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mi hiyo dawa siiamini
   
 18. MVUMBUZI

  MVUMBUZI JF-Expert Member

  #18
  May 18, 2012
  Joined: Jan 8, 2011
  Messages: 4,561
  Likes Received: 269
  Trophy Points: 180
  Dada acha hofu au wa kushoto kulia mbona mi mke wangu kaniruhusu kumwekea?
   
 19. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #19
  May 18, 2012
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,361
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 145
  Yani tuna wivu wa ngono kuliko maendeleo......o.m.g!
   
 20. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #20
  May 18, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 9,674
  Likes Received: 2,401
  Trophy Points: 280
  Ww uko wapi.... ipo dawa mke wako akitiwa nje ya ndoa inanasaaaaa kama ya mbwa na haitoki hadi uje, or mumewe as well.... Itafute.....seriously.....

   
Loading...