Cheapest calls to Tanzania

Cheapest calls to Tanzania

Kakulwa

Senior Member
Joined
Oct 10, 2008
Posts
116
Reaction score
31
Hawa InternetCalls/Voip wamepandisha gharama za kupiga simu mpaka cent 25 kwa dakika both kwenda landlines na mobile phones from Europe.Nisaidieni wakuu,hivi hakuna mtandao mwingine cheaper kuliko hawa?
 
Diaspora utawajua tu. They like everything cheap. Cheap cost!!!!!!!!
 
Viber...etc ni internet yako tu! Bora unaowapigia uwanunulia simu zenye uwezo wa internet kuliko kutumia hizo Voip kwasababu baada ya muda gharama itazidi ya kuwanunulia simu. Kama wako sehemu isiyo na uwezo wa kuunganisha internet basi itabidi tu utumie Voip
 
Wengine hela zetu tunatafuta kihalali,tunachapa kazi na ndiyo maana tuko makini kwenye matumizi.Wengi wenu bongo mnaishi kifisadi,eti milioni 10 hela ya mboga,kwi kwi kwi
 
Viber...etc ni internet yako tu! Bora unaowapigia uwanunulia simu zenye uwezo wa internet kuliko kutumia hizo Voip kwasababu baada ya muda gharama itazidi ya kuwanunulia simu. Kama wako sehemu isiyo na uwezo wa kuunganisha internet basi itabidi tu utumie Voip

Ushauri mzuri mkuu,nakushukuru
 
Hawa InternetCalls/Voip wamepandisha gharama za kupiga simu mpaka cent 25 kwa dakika both kwenda landlines na mobile phones from Europe.Nisaidieni wakuu,hivi hakuna mtandao mwingine cheaper kuliko hawa?

Viber ndo habari ya mjini.
 
acha kuangaika watu tunatumia facebook messenger kupiga popote bure kabisa,kuna viber ,tango etc ni bure kabisa
 
nimeshagundua,napoteza pesa nyingi kupiga kwa voip,wacha niwatumie smartphones tutafutane kwa viber na skype

Yeah mi mwenyewe nafanya hivyo mambo yamekuwa rahisi Sana kwani huko hakuna utaratibu Wa kadi ukitaka kutumia regular call?
 
Itategemeana na locations zao,mimi nilifanya hivyo lakini bado nikashindwa kuwasiliana nao kwa viber n.k. sababu kule wanakoishi ni kijijini na signals ziko weak sana.Kwasasa nanunua subscription aidha dk 60=euro 13 au dk 120=23euro/mwezi via skype.
 
mkuu mazungumzo marefu na watu ni wengi,vikadi hivi vinakula pesa kichizi
 
Itategemeana na locations zao,mimi nilifanya hivyo lakini bado nikashindwa kuwasiliana nao kwa viber n.k. sababu kule wanakoishi ni kijijini na signals ziko weak sana.Kwasasa nanunua subscription aidha dk 60=euro 13 au dk 120=23euro/mwezi via skype.

nimekuelewa,isipokuwa tatizo watu wengi na mazungumzo marefu,hivyo inakula hela sana hata kwa skype
 
Back
Top Bottom