Cheap Cars- Magari bei rahisi hayo (Rav 4, GX110, Gx100, Vitz, Toyota Hilux)

Condition - new maana yake nini? Tarehe ya kutengenezwa (mwaka gani?), kilomita ngapi au zero?
 
new stock added Rav 4 , Gx 110, Gx100 , hilux double cabin .. msiogope bei zilizoko hapo maelewano yapo piga 0719539431
 
sijaona bei rahisi hapa . ungesema vits 6m ningekuelewa.
vitz ni mpya hata registartion bado afu niuze 6m.bora ioze store mwangu .used ni 7.5 au pia yard ulizia vitz mpya ni bei gani
 
Hiyo GX 100 bei ya mwisho ngapi? na imetumika Tanzania miaka ngapi? (Hizo milleage sio muhimu sana maana...)

Je una magari mengine zaidi ya hayo? Verossa ipo ? kiasi gani
 
Hiyo GX 100 bei ya mwisho ngapi? na imetumika Tanzania miaka ngapi? (Hizo milleage sio muhimu sana maana...)

Je una magari mengine zaidi ya hayo? Verossa ipo ? kiasi gani

7.8 nakupa gx 100 verosa sina nkipata ntakuchek
 
wako watakao ona sio lazima wewe uone ndio iwe final ndugu yangu bucho .pia umeandikiwa maelewano yapo.

Mkuu hapo juu kwenye RED,, nashaka kama wewe ni mfanyabiashara kweli!!! Katika soko la ushindani nilitegemea umshawishi mteja kwa kuinadi bidhaa yako vizuri zaidi ili akuelewe ni kwa nini unauza bei ya juu na siyo rahisi kama wengine. Kwa staili ya lugha yako hapo juu( KWENYE RED) sijui utafukaza wateja wangapi...?? Tunatakiwa kujifunza elimu ya biashara zaidi na haswa customer care kwa wafanyabiashara wengi ipo chini sana.
 
pasaka ofa!Pasakaofa bei ya suzuki swift imepungua kutoka milion 8 hadi million 7.5 hii ni ofa ya pasaka wai sasa

angalia picha hapo juu utaiona suzuki nyeupe
 
Uncle wangu anatafta truck yakubebea chakula vile vi mini track kama suzuki carry,hijet nk vinamfaa je anaweza pata? na ni kwa bei gani mkuu?
 
kwani mii nimesema hakuna 0 millage am doing my business we kama unayo fanya pia. Biashara ni huria mwana

You sound so arrogant! Kama ni businessman make sure unajifunza customer care kidogo usitegemee kukutana na wateja wanaofanana wapo watakaokuuliza maswali ya kukuprovoke tu but Kwa majibu yako haya hata Toyota sidhani kama wanaweza kumjibu mteja. Be humble please na utapata wateja na kujenga trust na kumbuka mteja mmoja akifurahia huduma yako ndio huyo Huyo atakuletea mteja nwingine...refer I'd yako networker
 

Attachments

  • GARI.jpg
    GARI.jpg
    124.5 KB · Views: 392
  • GARON.jpg
    GARON.jpg
    134.7 KB · Views: 364

Similar Discussions

Back
Top Bottom