Che Malone a.k.a MaguireBeki wa kimataifa Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram anewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya ikiwemo lililoigharimu Simba January 13, 2024 nchini Angola dhidi ya Bravos , kwenye mchezo huo Simba alipata sare ya moja moja na kuipa nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.
Malone ameandika:
"Ningependa kuomba radhi kwa familia nzima ya Simba kwa kuwagharimu sana katika siku mbili za michezo. Nachukua jukumu kamili kwa makosa yangu naahidi kufanya kazi kwa bidii ili niwe bora zaidi katika siku zijazo.
Pole sana. Asante Simba.
Asante mashabiki kwa kunitia moyo kila wakati licha ya kukatisha tamaa kwangu."
ni mzembe sana kwenye mambo ya msingi, akiendelea hivyo atakuwa hana faida kwa wanasiimba.Beki wa kimataifa Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram anewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya ikiwemo lililoigharimu Simba January 13, 2024 nchini Angola dhidi ya Bravos , kwenye mchezo huo Simba alipata sare ya moja moja na kuipa nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.
Malone ameandika:
"Ningependa kuomba radhi kwa familia nzima ya Simba kwa kuwagharimu sana katika siku mbili za michezo. Nachukua jukumu kamili kwa makosa yangu naahidi kufanya kazi kwa bidii ili niwe bora zaidi katika siku zijazo.
Pole sana. Asante Simba.
Asante mashabiki kwa kunitia moyo kila wakati licha ya kukatisha tamaa kwangu."
Mtakuwa mnaomba misamaha kila siku.Beki wa kimataifa Che Malone kupitia ukurasa wake wa Instagram anewaomba radhi mashabiki wa Simba na wadau wa soka kutokana na makosa aliyoyafanya ikiwemo lililoigharimu Simba January 13, 2024 nchini Angola dhidi ya Bravos , kwenye mchezo huo Simba alipata sare ya moja moja na kuipa nafasi ya kufuzu hatua ya robo fainali.
Malone ameandika:
"Ningependa kuomba radhi kwa familia nzima ya Simba kwa kuwagharimu sana katika siku mbili za michezo. Nachukua jukumu kamili kwa makosa yangu naahidi kufanya kazi kwa bidii ili niwe bora zaidi katika siku zijazo.
Pole sana. Asante Simba.
Asante mashabiki kwa kunitia moyo kila wakati licha ya kukatisha tamaa kwangu."
Kuomba radhi ni uungwana mkuu. Sio mbaya japo upo sahihi kuhusu kufanyia kazi makosa yake.Siungani na huo utaratibu wa kipuuzi ambao unataka kuanzishwa. Yani mtu afanye makosa ya kiutendaji wakati wa kutekeleza majukumu yake ya msingi , then aje aombe radhi kwa maandishi. kwahiyo itakuwa kila goli likifungwa tunatafuta nani kasababisha ili nae aje atuombe radhi. kitu cha msingi aongee na benchi la ufundi, kisha abadilike kimyakimya.
Hata hilo ni sawa..kwani analichezea benchi peke ake??Siungani na huo utaratibu wa kipuuzi ambao unataka kuanzishwa. Yani mtu afanye makosa ya kiutendaji wakati wa kutekeleza majukumu yake ya msingi , then aje aombe radhi kwa maandishi. kwahiyo itakuwa kila goli likifungwa tunatafuta nani kasababisha ili nae aje atuombe radhi. kitu cha msingi aongee na benchi la ufundi, kisha abadilike kimyakimya.
Maandazi na miharage kila siku inamchosha che guevara maloonChe Malone anafikirisha sana. Bado naamini ni beki mzuri na hafanyi makosa kabisa akiwa anakaba na mipira mingi ya 1 on 1 huwa anaishinda. Anakuja kufanya makosa akiwa yeye ana mpira na tena siyo mazingira unayoweza kusema yenye pressure. Ile pasi ya jana hai make sense.
Nimemuangalia kwa makini msimu huu akiwa nje ya uwanja, body language yake inaonyesha si mtu mwenye furaha. Sijui tatizo ni nini.
Hv itokee vle ktk mechi ya watani...c atamezwa mzma mzma huyu kiumbe?????Huyu bwana itakuwa Inonga alishamlisha sumu, itakuwa naye ana ndoto za kwenda Afrika Kaskazini kwa hiyo anatafuta njia auzwe. Inonga hadi alimfanya naye aanze kujichubua.