Chawa wa CCM kaniomba msamaha kwa mambo anayopost Mtandaoni

figganigga

Platinum Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
26,662
Reaction score
59,100
Kuna ndugu yangu ni chawa wa CCM(Jina Kapuni) Nilimfungia safari kuuliza kwanini anaunga mkono CCM na Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan ambaye Mdomo waake haukemei Mauaji wala hajali anaowaongoza wakipotea? Nilienda Iringa kwa Ukali sana. Nia ni tuvunje urafiki na kumblock hadi kwenye memory card. Nikaona nisifanye hivyo biila kumsikiliza.

Akanambia anapost tu apate mkate wake wa kila siku. Kasema vile anavyopost ameandikiwa wala siyo yeye. Aliungwa kwenye Group na kila siku wanapewa hela ya bando na posho. Akasema anamaliza kujenga nyumba. Pia akasema asipopost wenzake watapost tu.

So kasema njaa njaa zake ndo zinamfanya afanye hivyo. Pia mama yake anaumwa hakuna aliyemsaidia kumtibia bali hela za Uchawa.

Ila hapendi Uchawa. Kaomba nimsamehe nisivunje urafiki.. Hata kadi ya chama bado anayo mwaka huu kalipia kabisa Platinum. Kasema anaomba amuokoe mama yake.

Je, nimsamehe na nimuache aendelee kula hela za uchawa? Au Nimle ulimi?
 
Hawa mbona wapo wengi humu JF; na kilA siku tunawakumbusha uhayawani wanaolifanyia taifa hili.

Na hii siyo mitandaoni pekee. Viongozi karibu wote kila taasisi wanafanya mambo ya ajabu sana kwa sababu tu ya manufaa binafsi wanayopata toka kwa huyu Samia Suluhu na Genge lake

Ni utawala uliooza sana huu. Lakini matokeo yake yatakuja kuwa machungu sana endapo watavuka na kubaki madarakani kwa nguvu.
 
Nilienda Iringa kwa Ukali sana

chawa wa CCM(Jina Kapuni)

Pia mama yake anaumwa hakuna aliyemsaidia kumtibia bali hela za Uchawa

Hadi hapa umetaka tu kusema kuwapwi

Je, nimsamehe na nimuache aendelee kula hela za uchawa? Au Nimle ulimi?

Yeye anakuhusu nini hata Mama yake haujamsaidia matibabu?
Umemkuta anafanya yake.. utamfanya nini nae ni maisha yake kwa sasa... wivu.com au?

Ndicho kimenisukuma niandike...
 
Madam
 
Umasikini na ujinga ni vitu vya kupigwa vita.
 
Kuna ndugu yangu ni chawa wa CCM(Jina Kapuni) Nilimfungia safari kuuliza kwanini anaunga mkono CCM na Mwenyekiti wa CCM Samia Suluhu Hassan ambaye Mdomo waake haukemei Mauaji wala hajali anaowaongoza wakipotea? Nilienda Iringa kwa Ukali sana. Nia ni tuvunje urafiki na kumblock hadi kwenye memory card. Nikaona nisifanye hivyo biila kumsikiliza.

Akanambia anapost tu apate mkate wake wa kila siku. Kasema vile anavyopost ameandikiwa wala siyo yeye. Aliungwa kwenye Group na kila siku wanapewa hela ya bando na posho. Akasema anamaliza kujenga nyumba. Pia akasema asipopost wenzake watapost tu.

So kasema njaa njaa zake ndo zinamfanya afanye hivyo. Pia mama yake anaumwa hakuna aliyemsaidia kumtibia bali hela za Uchawa.

Ila hapendi Uchawa. Kaomba nimsamehe nisivunje urafiki.. Hata kadi ya chama bado anayo mwaka huu kalipia kabisa Platinum. Kasema anaomba amuokoe mama yake.

Je, nimsamehe na nimuache aendelee kula hela za uchawa? Au Nimle ulimi?
Anakuwinda usiingie mtegoni
 
Back
Top Bottom