Si kweli kuhusu huo msemo wako. Sisi wamakonde tuna idiom yetu maridadi sana inasema:Kaoko bita, kaoko piluka! πππππHaaaaaaaaaaaaaa wazee wa fix
Daima toa bila kukumbuka na Pokea bila kusahau
πππLe Chawazz Le kungunizz
Mkuu naomba tushirikiane kuwasikitikia hawa viumbe. Wanajidai kama wanasikilizana kweli. Angalia yule mwingine kakaa kama anakuna nazi! ππππππππππππ
1. ''Wamakonde''Si kweli kuhusu huo msemo wako. Sisi wamakonde tuna idiom yetu maridadi sana inasema:Kaoko bita, kaoko piluka! πππππ
duh mkuu saluti zako vile uko makinijamaa limeigeuza bendera ya taifa