Chawa Habib Mchange ameanza kushughulikiwa

TheForgotten Genious

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Posts
2,788
Reaction score
4,263
Baada ya Kitoilet paper cha Habib Mchange, naye akiwa ndiye mhariri wa kitoilet hicho kutoa kashfa kumtuhumu Nilesh mmiliki wa state oil kuwa alitoa pesa kuifadhili CHADEMA, nileshi alitoka kukanusha tuhuma hizo na kusema yeye hakuwahi kuifadhili CHADEMA, bali alimpatia Heche fedha kama mwanasiasa ili amsafishe katika kashfa yake ya mafuta aliyoifanya kunyume na makubaliano ya kibali hicho.

Nilesh ameenda mbali kwa kumuandikia barua Habib ya kutaka kuomba radhi ama alipe fidia ya 12B.

 
RAIA FEKI NI KANSA KWA TAIFA
 
Habib X-Schoolmate toka shule kubwabwaja hauachi ?
Jamaa ana tabia mbaya sana huyu. 12 Billion anazitoa wapi ?
 
Kaole sanaaa group
 
Mchange ataandamana kwenda ubalozi wa Vatican kupinga kudaiwa fidia hiyo.
 
Inadaiwa hilo jambo limetokea ndani ya ccm
Sijui hata nani kamtuma,maana ninavyojua NILESH na Abdul Samia na kina Davis Mosha ni marafiki haswaa na wamepiga sana dili za mafuta,Abdul kaingizwa kwenye chain kipindi hiki..
 
Safi sana maana alikuwa bado hajajifunza kwa yaliyompata chawa mwenzake Msiba
 
Huyu ndiyo alikuwa analeta habari za ujasusi humu, bwana wa Nifah?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…